Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo, usiku wa December 8 katika mchezo dhidi ya Malmoe FF
wa kuhitimisha mechi za Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya alivunja
rekodi yake mwenyewe aliyoiweka msimu uliyopita, kabla...
Thursday, December 10, 2015


Mwanamuziki
na mtangazaji wa redio, Roberto Chindaba Banda 'maarufu Roberto Amarula
kutoka nchini Zambia (katikati), akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari Dar es Salaam jana , kuhusu onyesho lake
atakalolifanya leo katika fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar es
Salaam na kesho ukumbi wa Ngalawa Pub mkoani Dodoma katika Tamasha la
Instagram Party Dodoma. Kushoto ni...



KOMBE LA DUNIA kwa Klabu linaanza huko Japan Alhamisi Desemba 10. Washiriki
wa Mashindano haya ni Barcelona, Mabingwa wa Ulaya, River Plate,
Mabingwa wa Marekani ya Kusini, America ambao ni Mabingwa wa Nchi za
Marekani ya Kati na Kaskazini na Visiwa vya Carribean, Mabingwa wa
Afrika TP Mazembe, Guangzhou Evergrande, Mabingwa wa Asia na Bingwa wa
Kanda ya Oceania. Pia wapo Sanfrecce Hiroshima,...


Willian akishangilia bao lake baada ya kuifunga Timu ya FC Porto ikiwa ni bao la pili Jose Mourinho chini akiendesha mapambano ya kuwakumbusha wachezaji wake Willian alifunga bao la pili kwa shuti kaliDiego Costa akipongezwa na Hazard Diego aliachia shuti kali ambalo lilizaa bao la kujifunga wao wenyewe FC Porto mbele ya Mlinda mlango wao Casillas....


SAFU
ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL, imekamilika
Jana na Timu za England, Arsenal na Chelsea, zilishinda hapo Jana na
kutinga Mtoano. Timu hizo zinaungana na Chelsea iliyofuzu mapema ikiwa na Mechi 2 mkononi.
Juzi Man United ilitolewa UCL na kutupwa UEFA EUROPA LIGI baada ya kumaliza Nafasi ya 3 kwenye Kundi B. Man United sasa itacheza Raundi ya Mtoano ya Timu...


Garry Monk.
Klabu ya Swensea City imemtupia virago
kocha wake Garry Monk baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya 11 ambayo
ameingoza Swansea kwenye ligi ya England msimu huu.Kocha huyo mwenye
umri wa miaka 36 amekuwa kwenye kikosi hicho kwa zaidi ya miaka 11
akianza kama mchezaji lakini baadae mwaka 2014 akabidhiwa timu hiyo kama
kocha mkuu akichukua nafasi ya Michael Laudrup.Kipigo cha...
Subscribe to:
Posts (Atom)