Friday, December 9, 2016

RAIS MAGUFULI KUENDELEZA JITIHADA ZA MARAIS WALIOPITA KUWALETEA MAENDELEO WANANCHI. Rais John Magufuli akiwapungia wananchi waliofurika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam wakati alipoingia kwenye uwanja huo kuongoza sherehe  za miaka 55 ya Uhuru Desemba 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Rais John Magufuli akikagua gwaride katika sherehe za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliojitokeza katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 55 ya Uhuru...
Waamuzi waliochezesha mchezo namba 49 kati ya Yanga na Simba, Martin Saanya na Samweli Mpenzu wametolewa kwenye ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, huku suala lao likipelekwa kwenye Kamati ya Waamuzi ili ishughulikie tatizo lao kitaalam. Maamuzi hayo yamefanyika baada ya Kikao cha Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya ligi, kuwaita na kuwahoji na kuangalia mkanda wa...
EPL, LIGI KUU ENGLAND RATIBA: Jumamosi Desemba 10 15:30 Watford vs Everton 18:00 Arsenal vs Stoke City 18:00 Burnley vs Bournemouth 18:00 Hull City vs Crystal Palace 18:00 Swansea City vs Sunderland 20:30 Leicester City vs Manchester City Jumapili Desemba 11 15:00 Chelsea v West Bromwich Albion 17:15 Manchester United v Tottenham Hotspur 17:15...

waliotembelea blog