Monday, August 31, 2015

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Arsenal ya Uingereza Oliver Giroud ambaye wengi wamekuwa wakimlaumu kocha wa Arsenal Arsene Wenger kuwa hawezi kutwaa ubingwa akiwa na mshambuliaji huyo pekee, wengi walikuwa wakishinikiza Wenger amsajili Karim Benzema. August 31 Oliver...
Tukiwa tunaelekea kufungwa kwa dirisha la usajili wa Ligi Kuu Uingereza, nimeona nikukumbushe wachezaji watano waliowahi kusajiliwa kwa fedha nyingi saa chache kabla ya dirisha la usajili halijafungwa. Mesut Ozil – 2013 Ikiwa saa kadhaa zilikuwa zimesalia kabla ya dirisha la...
Mtoto wa mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa klabu ya Manchester United Kai Rooney alionekana mwenye furaha, katika mapumziko ya mwisho wa wiki na mama yake mzazi Coolen Rooney wakiwa Hispania kwani...

waliotembelea blog