Pichani
ni Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano
na Mtangazaji wa kipindi cha “Mimi na Tanzania” Hoyce Temu nchin
Marekani.
Mpigie
Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera anayeshiriki kinyang’ayiro cha
kumtafuta Miss Africa USA. Mtangazaji wa Mimi Na Tanzania Hoyce Temu
ambaye pia ni Miss Tanzania 1999 yupo nchini Marekani na amefanya...
Wednesday, July 30, 2014


Sam
Mapenzi (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani
ya fukwe za Escape One katika show maalum kwa ajili ya kusheherekea
sikukuu ya Eid-El Fitr huku akipewa back Vocal na Sony Masamba pamoja na
Aneth Kushaba AK47.
Aneth
Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani kuwapa raha mashabiki wa Skylight
Band katika kusheherekea sikukuu ya Eid El Fitr...


NA Mahmoud Ahmad Arusha
WANACHAMA wa vikundi vya kuweka
na kukopa (VIKOBA) mkoani Arusha wametakiwa kutumia na kupanga vizuri
matumizi ya fedha wanazokusanya ili ziwasaidie kutoka daraja moja hadi
jingine katika maisha yao.
Kauli hiyo ilitolewa wilayani Arusha na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha
alipokuwa akiendesha utunishaji wa fedha...


Katibu
Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Bi. Getrudi Mpaka akitoa salam za Mkoa huo
kabla ya kuukabidhi Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Mjini Magharibi leo july
30.
Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam,Said Meck Sadiki akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis, makabidhiano hayo
yamefanyika uwanja wa ndege mkongwe Kiembesamaki...
Subscribe to:
Posts (Atom)