Afisa Mauzo (NHC), Jasson Ipyana akimuelezea mwananchi kuhusina na miradi ya nyumba ya bei nafuu ilioko nchini. Bw: Klison Sanane (kushoto), akifafanua miradi mbalimbali ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Aika
Swai (kushoto), akielezea kuhusiana na utaratibu wa unaoutumika katika
ununuzi wa nyumba za (NHC) huku baadhi ya wadau kutoka Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO)...
Thursday, June 30, 2016


Serikali
imesema wawekezaji wazawa wana haki ya kuwekeza kwenye sekta za mafuta
na gesi ili sekta hizo ziwe na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa
nchi.Hayo
yamesemwa na mtaalam kutoka Idara ya Nishati, Wizara ya Nishati na
Madini Mhandisi Petro Marwa kwenye maonesho ya kimataifa ya sabasaba
yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar...


Baadhi
ya abiria wanaotumia usafiri wa mabasi yaendayo kasi maarufu kama
mwendo kasi wameilalamikia kampuni hiyo kwa kushindwa kudhibiti vitendo
vya wizi vinavyoendelea katika baadhi ya vituo hivyo. Bw. Juma
Ally mkazi wa Kimara mwisho anasema vitendo hivyo hutokea nyakati za
usiku kwa baadhi ya vijana kujifanya nao ni miongoni mwa watumiaji
daraja hilo na kupelekea abiria kuibiwa vitu vyao...



Mbunge
wa Ubungo Chadema Saed Kubenea amesimamishwa kuhudhuria vikao vitano
vya bunge na Naibu Spika Dk Tulia Akson baada ya kubainika kusema uongo
kwamba Waziri wa Ulinzi na JKT Dk Hussein Mwinyi ameingia Mkataba na
kampuni ya China Henan International Cooperation Group Company wa ujenzi
wa nyumba za JWTZ na nyumba ya Waziri huyo jambo ambalo sio kweli.
Mbunge
wa Jimbo la Mbeya Mjini,...


KONGAMANO
kubwa la aina yake limefanyika mjini Dar es salaam ambapo washiriki
walizungumzia namna ya kuendeleza rasilimali watu katika eneo la
utaalamu na taaluma katika shughuli mbalimbali za uendelezaji wa
makampuni na viwanda.
Kongamano
hilo ambalo lilihudhuria na watu wenye kariba kubwa katika masuala ya
viwanda na biashara akiwemo Dkt. Reginald Mengi ambaye ni Mwenyekiti wa
makampuni...



Waziri
wa Afya, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na mke wa tajiri namba
moja duniani na mwenyekiti mwenza wa Bill and Melinda Gates Foundation,
Melinda Gates kwa pamoja wamelipongeza Shirika la Oxfam kupitia kampeni
yake ya Grow kwa kufanya Shindano la Mama Shujaa wa Chakula kama moja ya
mbinu za kumkomboa mwanamke mnyonge kiuchumi.
Wawili
hao waliyasema hayo kwenye mdahalo uliofanyika...



Wateja wakipata maelezo kuhusu huduma za TTCL, katika viwanja vya sabasaba
Afisa kutoka TTCL, Fredrick Benard (kushoto) akitoa maelezo kwa mteja aliyetembelea banda la TTCL.
TTCL wakitoa huduma kwa wateja katika maonesho ya Sabasaba
Wafanyakazi wa TTCL wakitoa huduma kwa wateja.
Wafanyakazi wa TTCL wakiwakaribisha wateja katika Banda.
Wananchi
...


Na Mwene Said wa Globu ya Jamii, Dar es Salaam
Tundu
Lissu (48) amesomewa mashtaka ya kutoa lugha ya uchochezi ikiwemo
kudharaulisha watanzania dhidi ya mamlaka halali ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania.
Lissu alisomewa mashtaka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Juni 30, 2016.
Upande
wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili wa...



WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Halmashauri zitaelekezwa kwa waraka
ni vyanzo vipi vitahitaji kutumia wawakala wa ukusanyaji mapato kwani siyo kila
chanzo cha mapato ya Halmashauri kitakusanywa kwa ufanisi kwa kutumia au kwa
kutotumia mawakala.
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo mchana (Alhamisi, Juni 30, 2016)
wakati akitoa hoja ya kuhitimisha mkutano wa tatu wa Bunge la 11 la...


Meneja wa kituo cha kusimamia wasanii ‘Mkubwa na Wanae’ Said Fella ameelezea ndani ya miaka mitano kituo chake kimefanya kitu gani kwenye tasnia ya Bongo Fleva na mabadiliko yaliyoonekana.
‘Mpaka
sasa hivi Mkubwa na wanae ina miaka mitano na kuna vitu vingi
vilivyofanyika na watu wanaona,...


Klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba leo June 30 imetangaza rasmi kupitia kurasa zake za mitrandao ya kijamii kuingia mkataba na kocha raia wa Cameroon Joseph Omog, Simba wametangaza kuingia mkataba na Omog bila kuweka wazi mambo kadhaa kwa kigezo kuwa taarifa rasmi itatoka kesho July 1.
Simba wameingia mkataba na Omog ambaye amewahi kuifundisha...


Burudani
Rapper kutoka Bongoflevani, Darasa anayetamba na wimbo uitwao Kama Utanipenda aliyomshirikisha Rich Mavoko , sasa leo June 30, 2016 alikutana na waandishi wa habari kwaajili ya kuzinduzi single yake mpya iitwayo Too Much.
Wimbo huo mpya umeandaliwa kwenye kipindi cha miezi sita iliyopita kupitia studio ya Mr....


ENGLAND
inatafakari uwezekano wa kumteua Gareth Southgate awe Meneja wa Muda wa
England kufuatia kuondoka kwa Roy Hodgson mara baada ya England kutupwa
nje ya EURO 2016 kwenye Hatua ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 na Iceland
huko France.
Southgate, ambae sasa ndie Bosi wa Timu
ya Taifa ya England ya Vijana chini ya Miaka 21, U-21, anaweza kuteuliwa
ili kuisimamia Timu hiyo...
Subscribe to:
Posts (Atom)