Sunday, December 13, 2015

Kila mtu ana kipaji chake katika maisha..wapo waliotamani kufanya hivi lakini mwisho wa siku wakajikuta wanafanya kitu kingine kabisa mbacho hawakudhamiria kufanya. Kwa mchezaji wa Manchester City na timu ya Taifa ya Ivory Coast Yaya Toure kumbe endapo mambo yasingemnyookea kwenye soka basi angekuwa mcheza karate. Huo ndio mchezo ambao kiungo...
Michuano ya klabu Bingwa Dunia ilianza December 10 2015 katika ardhi ya Japan, hii ni michuano ambayo inatafuta Bingwa wa Dunia kwa ngazi ya vilabu, kwa upande wa bara la Afrika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndio ilikuwa inawakilisha bara hili. TP Mazembe ambayo...

waliotembelea blog