Kocha
wa muda wa Spurs Tim Sherwood
Kocha wa muda Tim Sherwood alipofika uwanjani na kocha mwenzake Chris Ramsey kushotoKipindi cha pili dakika ya 67 Emmanuel Adebayor akawapatia bao Spurs.Ndani
ya dakika 5 za kipindi cha pili na dakika za lala salama West Ham
wakasawazisha na kuwaongezea tena bao Spurs, Bao zikifungwa dakika ya 80
na Matthew Jarvis na dakika ya 85 mfungaji ni Modibo Maíga....
Wednesday, December 18, 2013


Raja Casablanca scored twice in the last
10 minutes to stun Brazil's Atletico Mineiro in their Club World Cup
semi-final and earn a place in the final against Bayern Munich.
Raja, who qualified as champions of host nation Morocco, took the lead
early in the second half when Mouhssine Iajour was sent clear on the
right...


Mpira
ulistishwa kwa muda baada ya kutokea upepo mkali na hali ya hewa mbaya
huku mabarafu yakianguka hali iliyomfanya mwamuzi kusimaisha mpira kwa
dakika chache kama 10 kwenye uwanja wa Stoke City Britannia Stadium.Kipindi
cha kwanza kilimalizika wakiwa nguvu sawa ya bila kufungana. Ndipo
kipindi cha pili United wakafanya mabadiliko Anderson akatoka na nafasi...


CHEGE
NA TEMBA WASEMA KUIFANYIA VIDEO NGOMA YAO YA TUNAFURAHI, ITAKUA NI
KURUDI HATUA NNE NYUMA, BADALA YAKE WAKO KTK MICHAKATO YA KUZIFANYIA
VIDEO PROJECT ZAO MPYA MPYA, NA KUANZIA LEO CHEGE ANA SHOOT MUSIC
VIDEO YA CHAPA NYINGINE, CHINI YA DIRECTOR ADAM JUMA WA VISUAL LAB
AMBAYE SIKU HIZI KWENYE VICHUPA ANAVYO VISIMAMIA HUWA ANATUMIA SIGN YA
AJ BADALA YA VISUAL LAB, HII NI TANGU ATANGAZE...


Ndege
aina ya Boeing 767 inayosadikiwa kuwa ni ya Shirika la Ndege la
Ethiopia imetua kwa dharura majira ya saa tisa alasiri katika kiwanja
cha kurushia ndege ndogo cha Arusha badala ya kiwanja cha ndege cha
Kimataifa cha Kilimanjaro, KIA.
Abiria zaidi ya mia mbili waliokuwemo kwenye ndege hiyo wamenusurika kifo, wanasubiri msaada ngazi waweze...


Jaquar is one of Kenya’s highest earning
musicians and with good reason. The lad has been releasing hit after hit
and he has honestly displayed lasting power. So it comes as no surprise
that when he wants to treat himself, he spends sufficiently to by a
state of the art luxury vehicle and as I told you earlier in the year,
he settled for a Jaguar XJ
Source:...


Kivuko
kikubwa cha Mv Magogoni kinachofanya safari zake kati ya Kivukoni na
Kigamboni jijini Dar es Salaam kimekosa muelekeo majini katika bahari ya
Hindi kikiwa na abiria na magari baada ya injini zake kushindwa kufanya
kazi,Mpaka sasa sababu ya injini kushindwa kufanya kazi hazijatoka.
Shuhuda...


KOMBE la CAPITAL ONE CUP, leo Jumanne na kesho Jumatano litakuwa na Mechi zake za Robo Fainali. USIKU huu Jumanne
ni Leicester City, Timu inayocheza Daraja la Championship, kuwa Wenyeji
wa Vigogo wa Ligi Kuu England, Manchester City, na Mechi ya pili ni ya
Timu za Ligi Kuu England huko Stadium of Light kati ya Sunderland na
Chelsea.
Wachezaji wa Manchester City wakipongezana na kumpongeza...
Subscribe to:
Posts (Atom)