
Mfahamu Bernard Kamilius Membe, mmoja wa wagombea watano.
Ni mbunge wa jimbo la Mtama (2000 - 2015), na waziri wa mambo ya nje
Tanzania (2007-2015). Mhe. Membe amesomea Sayansi ya Siasa katika Chuo
Kikuu Cha Dar-es-salaam na Mahusiano ya Kimataifa katika chuo cha Johns
Hopkins, na amepitia mafunzo ya kijeshi (nationa service) kwa mwaka
mmoja katika kambi la kijeshi la Oljoro (Arusha)
#KaribuDodoma
UMOJA...