Mshambuliaji wa Chelsea na Spain Fernando Torres atajiunga moja kwa moja na AC Milan hapo Januari 5.Torres,
mwenye Miaka 30, alijiunga na AC Milan ya Italy kwa Mkopo tangu Mwezi
Agosti lakini sasa Mkataba utabadilishwa na kujiunga kwa kudumu na Klabu
hiyo ya Serie A.Torres
alijiunga na Chelsea kutoka Liverpool Januari 2011 katika Uhamisho
ulioweka Rekodi ya Uingereza wakati huo wa Dau...