Monday, March 23, 2015

  Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla kushoto akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wake na mohamed Matumla utakaofanyika march 27 katika ukumbi wa diamond jubilee katikati...
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, jana ilijiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu kucheza fainali za Afrika baada ya kuichapa Zambia mabao 4-2 katika mechi ya awali iliyochezwa mjini Lusaka.Kutokana na ushindi huo, Twiga Stars sasa inahitaji sare ya aina yoyote timu hizo zitakaporudiana wiki mbili zijazo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Habari kutoka Zambia zimeeleza...
Hii ndio nyumba mpya ya mwanamuziki anae wakimbiza wenziwe barani Africa Diamond Platnumz ambayo mwenyewe ameipa jina la "STATE HOUSE" kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe hii ni moja ya kati ya nyumba kumi anazo zimiliki Jikoni ndio hapo everything on point Diamond Aliweka hii caption kwenye picha hii. "In my 70Million Pure Gold plated toillet...pupping and Movies Lol!��..i...
Luis Suarez akishangilia vikali baada ya kuishindilia bao la Ushindi Real Madrid na kuipatia Ushindi wa El Clasico Barcelona wa bao 2-1 leo huko Camp Nou.Kipindi cha pili dakika ya 56 Luis Suárez aliifungia bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Real baada ya kupata mpira kutoka kwa Daniel Alves. Ushindi huu umeipaisha Barcelona juu kileleni wakiwa na pointi 68 nyuma ya pointi 4 Real Madrid...
Raffael Araújo wa Borussia MonchengladbachBayern Munich leo wamefungwa bao 2-0 bila kujitetea na mchezaji Raffael Araújo wa Borussia Monchengladbach, Bao zilifungwa na dakika 30 na kipindi cha pili dakika ya 77 na mchezaji huyo huyo Raffael Araújo. Bayern Munich leo wamefungwa bao 2-0 bila kujitetea na mchezaji Raffael Araújo wa Borussia Monchengladbach, Bao zilifungwa na dakika 30 na...
Loïc Remy dakika ya 77 aliipa bao la tatu Chelsea na kufanya matokeo kuwa 3-2 na mpira kumalizika kwa Chelsea kuibuka kidedea. Ushindi huu unawapaisha Chelsea kileleni wakiwa na pointi 6 wakiwa na pointi 67 dhidi ya Man City ambaye yupo nafasi ya pili ambaye ana pointi 61. Oscar akishangilia bao pamoja na Remy baada ya kupaa zaidi kileleni mwa Ligi BPL. Remy alikimbia...
2-0 Man United ilifanikiwa kupata bao mbili kupitia kwa Juan Mata.2-0 Juna Mata (Katikati) akishangilia bao lake la pili kwa Man United. Rooney akimpongeza Juan MataUshindi huu umewapandisha Man United wakiwa nyuma ya pointi moja dhidi ya Timu ya Arsenal, United wakiwa na pointi 59 na Arsenal 60. Liverpoo wao wamebakia hapo walipo wakiwa nafasi ya tano na pointi zao 54 mbele ya pionti moja...

waliotembelea blog