Loïc Remy dakika ya 77 aliipa bao la tatu Chelsea na kufanya matokeo kuwa 3-2 na mpira kumalizika kwa Chelsea kuibuka kidedea. Ushindi huu unawapaisha Chelsea kileleni wakiwa na pointi 6 wakiwa na pointi 67 dhidi ya Man City ambaye yupo nafasi ya pili ambaye ana pointi 61.
Remy alikimbia na kupongezana Viongozi wake akiwemo Kocha Mkuu Jose Mourinho
Remy akimfunga kipa wa Hull Allan McGregor na kuipa Chelsea pointi tatu muhimu leo hii.
Abel Hernandez akifanya yake dhidi ya Thibaut Courtois leo Jumapili
Kipa nae kacheza leo!
Dakika ya 28 Ahmed El Mohamadyanaipatia bao la kusawazisha Hull City na kufanya 2-2.
Dakika ya 26 Ahmed El Mohamadyanaipatia bao Hull City na kufanya 2-1.
0 maoni:
Post a Comment