Daniel Alves. Ushindi huu umeipaisha Barcelona juu kileleni wakiwa na pointi 68 nyuma ya pointi 4 Real Madrid ambao mpaka sasa wamebakia nafasi ya pili wakiwa na pointi 64. Valencia ambaye yupo nafasi ya tatu anapointi 60 nae nyuma ya pointi 4 kuikama ta Real.
Ronaldo akishangilia bao lake la kusawazishaDakika ya 31 Cristiano Ronaldo aliisawazishia bao Real na kufanya 1-1akilishwa mpira na Karim Benzema.
Jérémy Mathieu akiwaua Real bao kwa kichwa!
Bale akikimbizwa na Neymar
Kikosi cha BarcelonaMwamuzi wa kati ni Antonio Miguel Mateu Lahoz na Mashabiki waliongia kuuona mtanange huu ni 99,000.
BARCELONA XI: Bravo, Alves, Pique, Mathieu, Alba, Rakitic, Mascherano, Iniesta, Messi, Suarez, Neymar
AKIBA: Ter Stegen, Busquets, Xavi, Pedro, Rafinha, Bartra, Adriano.
REAL MADRID XI: Casillas, Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo, Modric, Kroos, Isco, Bale, Benzema, Ronaldo
AKIBA: Keylor Navas, Varane, Arbeloa, Illarramendi, Lucas Silva, Jese, Chicharito.
RSS Feed
Twitter
8:58 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment