Monday, March 23, 2015


2-0 Man United ilifanikiwa kupata bao mbili kupitia kwa Juan Mata.2-0
Juna Mata (Katikati) akishangilia bao lake la pili kwa Man United. Rooney akimpongeza Juan MataUshindi huu umewapandisha Man United wakiwa nyuma ya pointi moja dhidi ya Timu ya Arsenal, United wakiwa na pointi 59 na Arsenal 60. Liverpoo wao wamebakia hapo walipo wakiwa nafasi ya tano na pointi zao 54 mbele ya pionti moja dhidi ya Southampton ambao wanapointi 53.Kipindi cha pili dakika ya 59 Juan Mata aliiongezea bao tena Man United baada ya kupewa krosi tamu na Angel Di Maria na Juan Mata kufunga bao kwa tiktaka kali na kufanya 2-0. Mtanange huu ulimalizika Mtu 10 Uwanjani kwa Upande wa Liverpool baada ya Steven Gerrard kumfanyia rafu mbaya mchezaji wa United Ander Herrera na dakika za mwishoni dakika ya 90 Nahodha wa Man united Wayne Rooney alikosa mkwaju wa penati na mtanange kumalizika kwa matokeo ya 2-1 Man United wakiibuka Kidedea.Dakika 69 Daniel Sturridge anaifungia bao na kufanya 2-1.Steven Gerrard akioneshwa kadi nyekundu na Mwamuzi.Taswira yenyewe ya rafu!Gerrard aliingia muda tu kipindi cha pili kilipoanza na ilipita muda kiduchu Juan Mata kaifungia bao la kuongoza Man United kipindi cha kwanza dakika ya 14 dhidi ya Liverpool kwenye Uwanja wa Anfield. Mpaka mapumziko Man United 1-0 Liverpool, Bao likifungwa na Juan Mata Juan Mata ameifunngia bao Man United dakika ya 14 baada ya kuwachomoka mabeki wa Liverpool baada ya kutanguliziwa pasi na Ander Herrera.Mata leo kawa hatariiBalaa!Raha ya bao!Dakika za mwishoni Martin Skrtel alimkanyaga mguu kipa wa United David De GeaRooney alikosa penati dakika ya 90Brendan Rodgers looks onJordan Handerson na Daley Blind kwenye patashika.....Mario chupuchupu na Chris SmallingMario alitulizwa na Mashabiki wa LiverpoolKumbe Mario ulimdaka Chris Mguu!!? muone!!Patashika zilipoanzia mpaka kujikuta nje ya Uwanja!Hatari!!Karibu Anfield, Wakisalimiana Makocha kabla ya Mtanange kuanzaMashabiki wa Liverpool.Gwiji la kandanda, Pelle alikuwepo uwanjani hapo kuufuatilia mchezo huo.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog