Thursday, July 9, 2015

BEKI Matteo Darmian atasaini Manchester United baada ya kukubali Mkataba wa miaka minne. United imekubai kutoa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 12.7 kwa Torino, ambayo inaweza kuongezeka hadi Pauni Milioni 14.4 iwapoa mchezaji huyo atafanya vizuri.  Klabu ya kwanza ya Darmian, AC Milan pia inatarajiwa kupata Pauni 287,000 kama...
Mbunge wa jimbo la Songea Mjini, Dk. Emmanuel John Nchini (kulia), akimkabidhi basi kwa ajili ya klabu ya Majimaji ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, John John Nchimbi (kushoto) leo asubuhi. Dk Nchimbi amemshukuru rafiki yake, Paul Hinks kwa kufanikisha kupatikana kwa gari hilo. Tayari Nchimbo ambaye amekuwa Mbunge wa Songea Mjini tangu mwaka 2010...
Stori kuhusu Siasa zinapewa nafasi kubwa sana sasa hivi, Tanzania inaingia kwenye Uchaguzi Mkuu Mwezi October 2015… Tayari wapo waliotangaza Kugombea nafasi mbalimbali lakini macho ya wengi yako kwenye nafasi ya Urais, mpaka sasa kuna majina zaidi ya 35 ya watu waliotangaza Kugombea nafasi ya Urais kupitia CCM. Rais Kikwete yuko Dodoma, imenifikia hii...
KLABU ya BidVest Wits ya Afrika Kusini ambayo hivi karibuni iliwaalika Simon Msuva wa Yanga SC na Jonas Mkude wa Simba SC kwa majaribio, imemsajili winga wa kimataifa wa Msumbiji, Elias Pelembe (pichani) kutoka Mamelodi Sundowns. Pelembe amemaliza mkataba wake na 'Wabrazil' mwezi uliopita na baada ya kufanya mazungumzo na klabu kadhaa, akaamua kuungana na Gavin Hunt klabu ya Wits. Klabu ...

waliotembelea blog