Friday, March 7, 2014

...
Klabu ya Arsenal imeshangazwa na kitendo cha benchi la ufundi la England kuendelea kumchezesha Wilshere akiwa majeruhi kwenye mechi ya kirafiki kati ya England na Denmark. Taarifa hii ya Arsenal imetolewa na madaktari wa timu baada ya kumfanyia vipimo mchezaji huyu na kugundua majeraha makubwa kwenye mguu wake wa kushoto baada ya kuchezewa rafu mbaya na beki wa Denmark, Daniel Agger....
...

waliotembelea blog