Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa
Elisha Akiwashukuru wanachama wote walioshiriki walio kiunga Mkono
chama hicho nawaliotoka vyama vingine wakiwemo viongozi na Taasisi
Mbalimbali.
Kiongizi MKuu wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Monday, March 30, 2015



Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al
Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya
albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja
vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.
Matembezi yakiendelea.
Wadau
kutoka sekta mbali mbali wakishiriki kwenye Matembezi ya...
Subscribe to:
Posts (Atom)