Thursday, September 11, 2014

ENGLAND: Premier League 04:45 Arsenal-Manchester City 07:00 Chelsea-Swansea 07:00 Crystal Palace-Burnley 07:00 Southampton-Newcastle Utd 07:00 Stoke City-Leicester 07:00 Sunderland-Tottenham 07:00 West Brom-Everton 09:30 Liverpool-Aston Vill...
...
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KOCHA mkuu wa Mbeya City fc na kocha bora wa ligi kuu Tanzania bara msimu uliopita, Juma Mwambusi, amewakaribisha makocha Patrick Phiri wa Simba na Marcio Maximo wa Yanga. Akizungumza mchana huu na MPENJA BLOG, Mwambusi amesema kocha Phiri ana historia ya kufundisha soka la Tanzania kwa ngazi ya klabu wakati Maximo amefundisha timu ya Taifa, lakini wote wataleta...
Issa Rashid (kulia) BEKI wa Simba Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ atalazimika kukaa nje ya uwanja kwa wiki mbili baada ya kuumia nyama za paja kwenye moja ya mazoezi ya klabu hiyo, daktari wa Simba, Yassin Gembe amethibitisha. Mbali na beki huyo straika Elius Maguli alilazimika kupumzishwa kufanya mazoezi na wachezaji wengine baada ya kuugua Malaria ambapo mpaka jana Jumatano mchana haikufahamika mara...
MCHEZAJI wa Simba Willium Lucian ‘Gallas’ amebadilisha nafasi katika kikosi cha Simba kutoka beki wa kulia alikokuwa akicheza awali na kupelekwa kucheza kama kiungo mkabaji kikosini hapo. Kocha wa Simba, Mzambia Patrick Phiri ameamua kumbadilisha Gallas na kumpeleka katikati baada ya kugundua kuwa beki huyo mbali na uwezo wa kucheza kama beki wa kulia pia anaweza kucheza kama beki wa...
Manchester United walimuuza Danny Welbeck kwa wapinzani wao wakubwa Arsenal baada ya kumsaini Radamel Falcao. GARY Neville ameishutumu sera ya usajili ya Manchester United baada ya kudai kuwa alishangazwa na kitendo cha kumuuza Danny Welbeck kwa paundi milioni 16 tu. United walitumia fedha nyingi majira ya kiangazi kwa kumsajili Falcao, Angel di Maria, Daley Blind, Ander...
PosTeamPWDLGFGAGDPts 1Chelsea330011479 2Swansea City33006159 3Aston Villa32103127 4Manchester City32015236 5Liverpool32016426 6Tottenham Hotspur32015326 7Arsenal31205415 8Southampton31114314 9Hull City31113304 10Stoke City31112204 11West Ham United310245-13 12Queens Park Rangers310215-43 13Sunderland302134-12 14Manchester United302123-12 15Leicester City302135-22 16Newcastle United302135-22 17Everton3021710-32 18West Bromwich Albion302125-32 19Crystal Palace301258-31 20Burnley301214-3...

waliotembelea blog