
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano
wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika
ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, Machi 17, 2014. Picha na
OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Makamu...