Wednesday, June 24, 2015

        UONGOZI wa Coastal Union,Wagosi wa Kaya umeingia mkataba wa miaka miwili na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Jackson Mayanja kuifundisha timu ya Coastal Union katika msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania Bara itakayoanza Mwezi Agosti mwaka huu . Kocha huyo ambaye ni raia wa Uganda, ameingia karandasi ya kuinoa Coastal Union leo jijini Tanga mbele ya...
Mchezaji wa Yanga Juma Abdul (kulia0 akimtoka mchezaji wa Friends Rangers leo kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Karume TIMU ya Yanga yenye maskani yake mtaa wa Jangwani na Twiga jana iliifunga Friends Rangers mabao 3-2 kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Yanga ambayo ilikuwa inawajaribu wachezaji wake ambao wamesajiliwa msimu huu ilianza kupata...
Kocha wa timu ya Taifa 'Taifa stars' Charkes Mkwasa akiongea na waandishi wa habari leo wakati alipotangaza kikosi chake cha kuivaa Uganda. Kulia ni msaidizi wake Hemed Morocco Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari.Akiongea...
Mh. January Makamba na mkewe, Ramona Makamba(kulia) baada ya kuwasili mkoani hapa Kagera kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania Urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho cha CCM. Picha na Faustine Ruta, Bukoba Mh. January Makamba na mkewe, Ramona(kulia) mara baada ya kushuka kwenye Ndege leo hii Jumatano asubuhi juni 24, 2015. Picha na Faustine...
Liverpool imefikia makubaliano ya kumsaini Roberto Firmino kwa Dau la Pauni Milioni 29 ambalo litamfanya awe Mchezaji wa Pili kununuliwa na Klabu hiyo kwa Fedha nyingi. Firmino, mwenye Miaka 23, ni Straika wa Klabu ya Bundesliga huko Germany, Hoffenheim, na sasa yuko Nchini Chile akiichezea Brazil kwenye Fainali za Copa America. Mkuu wa Liverpool, Ian Ayre, yupo Nchini Chile kusimamia...

waliotembelea blog