UONGOZI wa Coastal Union,Wagosi wa Kaya
umeingia mkataba wa miaka miwili na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kagera
Sugar, Jackson Mayanja kuifundisha timu ya Coastal Union katika msimu
ujao wa Ligi kuu soka Tanzania Bara itakayoanza Mwezi Agosti mwaka huu .
Kocha huyo ambaye ni raia wa Uganda, ameingia karandasi ya kuinoa Coastal Union leo jijini Tanga mbele ya Katibu Mkuu wa timu hiyo, Kassim El Siagi na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Albert Peter. Akizungumza kwa njia ya simu baada ya kumalizika zoezi hilo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga amesema kuwa kutokana na umahiri aliokuwa nao kocha huyo wana imani ataipa mafanikio timu yao katika ligi kuu msimu ujao.
“Uwezo
wa kocha Mayanja unatupa matumaini makubwa ya mafanikio ukizingatia ana
uwezo wa kufundisha na kupata mafanikio hivyo tunaamini kuja kwake
kwetu itakuwa chachu katika maendeleo”, alisema Assenga
Mayanja aliwahi kuzifundis
ha
timu za soka Kiyuvu FC ya Rwanda,timu ya Mamlaka ya Mapato (URA),Vipers
FC ya Bunamwaya na KCC zote za Uganda amesema kutua kwake kwenye timu
Coastal Union kunampa faraja hivyo atahakikisha anatoa mchango wake
kuipa mafanikio.
Pia alisema mipango yake ni kuhakikisha timu inang’ara katika michuano ya ligi kuu msimu ujao ikiwa ni pamoja na kubadili aina ya mchezo wa timu hiyo ili iweze kupata mafanikio kwa kuhirikiana na wachezaji, mashabiki na uongozi kwenye medani za kitaifa na kimataifa.
Kocha huyo ambaye ni raia wa Uganda, ameingia karandasi ya kuinoa Coastal Union leo jijini Tanga mbele ya Katibu Mkuu wa timu hiyo, Kassim El Siagi na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Albert Peter. Akizungumza kwa njia ya simu baada ya kumalizika zoezi hilo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga amesema kuwa kutokana na umahiri aliokuwa nao kocha huyo wana imani ataipa mafanikio timu yao katika ligi kuu msimu ujao.
Mayanja aliwahi kuzifundis
Pia alisema mipango yake ni kuhakikisha timu inang’ara katika michuano ya ligi kuu msimu ujao ikiwa ni pamoja na kubadili aina ya mchezo wa timu hiyo ili iweze kupata mafanikio kwa kuhirikiana na wachezaji, mashabiki na uongozi kwenye medani za kitaifa na kimataifa.
RSS Feed
Twitter
8:45 AM
Unknown
.jpg)
0 maoni:
Post a Comment