Wakati akiumiza kichwa kuhusu namana gani ya kuifungia Liverpool magoli,
Super Mari Baloteli amepata mtihani mwingine baada ya serikali ya
Uingereza kuzuia nguruwe wake kuingizwa nchini humo, mpaka atakapo nunua
kibali cha ufugaji.
Baloteli: Hakuna kitu kinachofuhisha kama kuishi karibu na nguruwe wangu.
Serikali ya Uingereza imesema ni lazima Baloteli ajisajili katika chama...