Friday, December 12, 2014

Manchester United inasaka ushindi wake wa sita mfululizo kwenye Ligi Kuu England Jumapili Uwanjani Old Trafford kwa kuendeleza machungu kwa Liverpool ambayo ipo mrama Msimu huu.Baada ya kuanza vibaya Msimu huu ukiwa ni mwendelezo wa Msimu uliopita walipomaliza Nafasi ya 7 wakati Liverpool iliukosa Ubingwa kidogo na kumaliza Nafasi ya Pili, Man United hivi karibuni imekaza uzi licha ya...
Ronaldo ndie aliyeanza kuwapa bao Real Cristiano Ronaldo ndie aliyeifungulia bao la kwanza Real dakika ya 20 kwa mkwaju wa penati na Gareth Bale kufunga bao la pili dakika ya 38 na kipindi cha kwanza kumalizika kwa 2-0. Kipindi cha pili kilikuwa cha Álvaro Arbeloa aliyefunga katika dakika ya 79 na tena Álvaro Medrán alitupia nae tena dakika ya 88 dhidi ya Ludogorets Razgrad na mtanange...

waliotembelea blog