Saturday, October 12, 2013

VODACOM PREMIER LEAGUE: LIVE MATCH - KAGERA SUGAR 1 vs YANGA 2, ..Second Half! Kikosi cha Kagaera Sugar kilichoanza Kikosi cha Yanga Waamuzi wa mtanange huu Waamuzi na Timu Kapteni wakiteta jambo muda mfupi kabla ya mpira kuanza Benchi la Yanga kushoto ni Kocha mkuu Benchi la Kagera Sugar Dakika ya 2 Mpira ukirushwa kama kona na Kipa kuupangulia kwa adui na Hatimaye Mshambuliaji...
 Tanzania ikitajwa kuwa ni miongoni mwa nchi zenye amani na utulivu, imebainika kuwa Watanzania ni miongoni mwa watu wasio na furaha na waliokata tamaa hapa duniani. Ripoti inayoonyesha orodha ya nchi zenye furaha duniani ya mwaka 2013 (World Happiness Report 2013), imeitaja Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi 10 za mwisho duniani kati ya nchi 156 zilizofanyiwa...
 Wahamiaji haramu 16 kutoka nchini somalia wamekamatwa Mkoani morogoro wakiwa wamejificha  katika  lori la mizigo lililosheni chokaa  likitokea jijini dar es salaam kuelekea mkoani mbeya Kupatikana kwa wahamiaji haramu hao kunatokana na ushirikiano wa  wananchi  ambao umesaidia kukamatwa kwa wahamiaji hao huku wakidai kuwa baadhi yao walikosa hewa...
Nick Cannon na Kim Kardashian Tupac Shakur na Jada Pinkett Kati ya zote hawa ndo waliyoniacha hoi!! Rihanna na Lewis Hamillton aliyekuwa mpenzi wa mda mrefu wa Nicole Schezinger Eddie Murphy na Toni Braxton  Tyra Banks na Will Smith Nilipigwa a butwaa baada ya kugundua kuwa wasanii hawa walikuwa wapenzi hapo awali, unadhani wanamatch? Toa maoni yako hapa....

waliotembelea blog