Tuesday, May 20, 2014

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini marehemu Arthur Mwakapugi huko nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.Mwakapugi ambaye alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 64 alitumikia taifa kwa miaka 30 mfululizo katika nafasi mbalimbali.Marehemu baadaye alisafirishwa kwenda...
Hivi ndivyo mamia ya wasanii wa filamu nchini walivyojitokeza kuuaga mwili wa mwigizaji mwenzao, marehemu Adam Kuambiana, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita. Mwili wa Kuambiana uliagwa kwenye viwanja vya Leaders, vilivyoko Kinondoni, Dar es Salaam. Serikali iliwakilishwa na Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni, Dk. Fenella...
  HEKAHEKA za uchaguzi wa klabu ya Simba zinaendelea kwa kasi na ifikapo juni 29 mwaka huu rais mpya, makamu wa rais na wajumbe wa kamati ya utendaji watapatikana tayari kwa safari nyingine ya miaka minne. Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi, wakili Dkt. Damas Daniel Ndumbaro jana aliweka hadharani majina 41 ya wagombea wa nafasi mbalimbali baada ya zoezi la...
  Na Baraka Mpenja wa fullshangwe, Dar es salaam WAGONGA nyundo wa Mbeya, klabu ya Mbeya City fc bado ipo jijini Dar es salaam kujiandaa na safari ya kwenda Sudan kushiriki michuano mipya ya CECAFA Nile Basin inayotarajia kuanza mei 22 mpaka juni 4 mwaka huu. Kocha msaidizi wa klabu hiyo, Maka Mwalwisyi ameuambia mtandao huu kuwa asubuhi hii wanaendelea...

waliotembelea blog