Mwanamuziki
Moses Bushangama maarufu kama Mez B amefariki dunia. Mez B alikuwa
mmoja wa wanamziki wanaounda kundi la Chamber squard,amefariki leo mjini
Dodoma, habari hizi zimethibitishwa na mama yake mzazi.R.I.P Mez ...
Mechi
ya Robo Fainali ya Kombe kongwe Duniani FA CUP kati ya Timu
zinazoshikilia Rekodi ya kulitwaa mara nyingi kupita wengine, Manchester
United na Arsenal, imethibitishwa kuwa itachezwa Old Trafford Jijini
Mnchester hapo Jumatatu Machi 9 kuanzia Saa 4 Dakika 45 Usiku, Bongo
Taimu.Man
United na Arsenal kila mmoja amelitwaa Kombe hili mara 11 lakini mara
ya mwisho kwa Man United kulitwaa...