All Star Club Elizabeth New Jersey Diamond akikamua licha ya show
kuchelewa kuanza na wapenzi wa Diamond kushikwa na jazba wakitaka
aendelee lakini ikashindika kutokana na muda wa kufunga club kufika. AJ nae akifanya yake baada ya kupewa nafasi ya ufunguzi katika show hiyo iliyofanyika New Jersey.AJ
Ubao na Dirty Hary wakishambulia jukwaa kwenye show ya kufubgua pazia
iliyoanyika New...