Friday, September 5, 2014

Neymar kulia akishangilia bao lake la ushindi dhidi ya  Colombia leo hii Ijumaa walipoichabanga bao 1-0 Neymarakikimbiza na  Juan Zuniga huko Miami Radamel Falcao kwenye patashika akikabwa Wakicheza hii Leo huko Sun Life Stadium, Miami ikiwa ni Mechi yao ya kwanza chini ya Kocha Dunga na pia hii ikiwa ni Mechi ya kwanza kwa Neymar kuichezea Brazil tangu avunjwe Mfupa ...
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group,pichani wa tatu shoto Ruge Mutahaba akiwa sambamba na baadhi ya wasanii waliokuwa wakitarajiwa kutumbuiza leo usiku mjini Musoma kwenye tamasha la Fiesta,lakini hata hivyo Uongozi wa Clouds Media Group,Prime Time Priomotions ambao ndio waandaaji pamoja na Wadhamini wa tamasha hilo kwa pamoja wamekubaliana kuahirisha onyesho hilo...
KOCHA wa Brazil Dunga amemteua Neymar kuwa Kepteni wa Brazil ambayo baadae Usiku huu itapambana na Colombia huko Marekani na hii ni Mechi ya kwanza kwa Neymar kuichezea Brazil tangu avunjwe Mfupa wa Mgongoni na Juan Zuniga wa Colombia. Neymar, mwenye Miaka 22, alianza vyema na Nchi yake Brazil kwenye Fainali za Kombe la Dunia zilizochezwa Nchini humo Mwezi Juni na Julai lakini kwenye...
Mchezaji Ismail Gunduz wa SK Rum ya Austria amefungiwa kutocheza mechi 70 ikiwa ni adhabu baada ya mchezaji huyo kumpiga kichwa uwanjani mwamuzi wa mchezo. Gunduz anayechezea timu ya daraja la tano ya SK RUM alimpiga mwamuzi siku ya Jumamosi kwa kichwa muda mfupi kabla ya mwamuzi huyo kupuliza kipyenga cha kumaliza mchezo. Hata hivyo mwamuzi huyo alikimbizwa hospitali kwa matibabu kutokana...
Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku wakiongozwa na Mary Lucos (kushoto) katika show zao za kila Ijumaa kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar bila kusahau leo pia watakuwepo kuanzia saa tatu usiku. Mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na nyimbo mbalimbali zilizokuwa zikiporomoshwa na bendi hiyo. Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo akifanya yake...
Katukana: Bosi wa England, Roy Hodgson amejibu mapigo kutokana na kitendo cha kukosolewa baada ya kuonesha kiwango cha chini dhidi ya Norway ROY Hodgson  amegeuka 'mbogo' baada ya kukosolewa kwa kitendo cha England kuonesha kiwango 'mbofumbofu' katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Norway katika dimba la Wembley. Kocha huyo aliulizwa kutoa maoni yake kutokana na timu yake...
Zlatan Ibrahimovic alifunga bao lake la 50 katika mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Estonia MSHAMBULIAJI wa PSG, Zlatan Ibrahimovic ameweka rekodi ya kuwa mfalme wa ufungaji wa mabao wa wakati wote wa Sweden. Nyota huyo mwenye miaka 32 alifunga bao safi katika mechi ya kirafiki baina ya Sweden na Estonia na kufikisha mabao 50, akivunja rekodi ya Sven Rydell ambaye kwa mara ya mwisho...
  Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku wakiongozwa na Mary Lucos (kushoto) katika show zao za kila Ijumaa kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar bila kusahau leo pia watakuwepo kuanzia saa tatu usiku. Mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na nyimbo mbalimbali zilizokuwa zikiporomoshwa na bendi hiyo. Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo akifanya...
MCHEZAJI MPYA wa Manchester United Marcos Rojo sasa amepatiwa Viza ya kufanya kazi Nchini Uingereza na hivyo yuko huru kuichezea Klabu yake hapo Septemba 14 itakapoivaa QPR Uwanjani Old Trafford kwenye Mechi ya Ligi Kuu England. Nyota huyo wa Argentina mwenye Miaka 24 alijiunga na Man United kutoka Sporting Lisbon ya Ureno Siku 16 zilizopita lakini alikwama kuichezea. Iliripotiwa kuchelewa...
MCHAMBUZI na Mtaalam wa Soka la Spain, Paul Breen-Turner, anaamini Staa wa Real Madrid Cristiano Ronaldo anajisafishia njia ya kurudi Klabu yake ya zamani Manchester United. Ronaldo, ambae ndie Mchezaji Bora Duniani, aliihama Man United Mwaka 2009 na kujiunga na Real Madrid lakini Siku zote amekataa kukanusha kwamba hatarudi Old Trafford ambako ndiko Ustaa wake ulichipukia. Breen-Turner ...
Sir Alex Ferguson akizungumza na Carlo Ancelotti na Arsene Wenger katika mkutano wa makocha mjini Nyon MKUTANO wa mwaka wa makocha wa kiwango cha juu umeanza jana jumatano na kumalizika leo, makao makuu ya UEFA, mjini Nyon, Uswizi. Kocha wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson alikuwa mwenyekiti wa mkutano huo akiwa kama balozi wa makocha wa UEFA , wakati naye...

waliotembelea blog