Saturday, August 29, 2015

Lionel Messi ametwaa Tuzo ya UEFA ya Mchezaji Bora wa Ulaya kwa Msimu wa 2014/15 baada ya kushinda Kura zilizopigwa na Wanahabari toka Nchi 54 Wanachama wa UEFA. Messi, mwenye Miaka 28, ametwaa Tuzo hii kwa kuwabwaga mwenzake wa Barcelona Luis Suarez na Mchezaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ambae ndie Mchezaji Bora Duniani.Hii ni mara ya pili kwa Messi kutwaa Tuzo hii na mara ya...
LIGI KUU ENGLAND RATIBA:Jumamosi Agosti 2914:45 Newcastle v Arsenal 17:00 Aston Villa v Sunderland 17:00 Bournemouth v Leicester 17:00 Chelsea v Crystal Palace 17:00 Liverpool v West Ham 17:00 Man City v Watford 17:00 Stoke v West Brom 19:30 Tottenham v Everton Jumapili Agosti 3015:30 Southampton v Norwich 18:00 Swansea...

Kupitia kwa mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Wolfsburg ya Ujerumani Klaus Allofs amethibitisha kwa mshambuliaji wa zamani wa Chelsea kurudi katika Ligi Kuu Uingereza. Klaus Allofs amethibitisha kuwa klabu ya Wolfsburg imeridhia kumuachia Kevin De Bruyne ajiunge na klabu ya...

waliotembelea blog