Marcos
Rojo Tayari amewasili Nchini England leo jumatano na akiwa tayri
kupimwa afya kujiunga na Manchester United msimu mpya 2014/15.Beki
wa Sporting Lisbon Marcos Rojo ametoa fununu kubwa kwamba yeye na
Mchezaji mwenzake wa Argentina Angel Di Maria wako njiani kuhamia
Manchester United.Ripoti
nzito toka huko England zimetoboa kuwa tayari Man United imewasilisha
Ofa ya Pauni...