Sir
Alex Ferguson anatarajiwa kukutana na Meneja mpya wa Man United Louis
van Gaal wa Manchester United ambaye kwa sasa yupo kwenye Ziara huko
Washington, Marekani.Sir Alex, ambae alistaafu kutoka wadhifa wake wa
Miaka 26 kama Meneja Klabu hiyo Mei Mwaka Jana, ataruka kwenda huko
Marekani kushuhudia Man United ikicheza na Inter Milan hapo Jumatano na
kisha Real Madrid.Hii Leo Man United...
Saturday, July 26, 2014

Mtoto: Mourinho amesema hakutaka kumsajili Shaw kwasababu mshahara wake ni mkubwa sana.
Imechapishwa Julai 26, 2014, saa 7:20 mchana
JOSE Mourinho amesema hakuthubutu kutaka
kumsajili Luke Shaw kwasababu mshahara aliohitaji kinda huyo `ungeua
umoja' wa timu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
Shaw mwenye miaka 19, alisaini
Manchester United kwa dau la paundi milioni 30...

+3
Ana furaha katika rangi nyekundu na
nyeusi: Mario Balotelli anaonekana kama vile ataondoka katika klabu ya
AC Milan majira haya ya kiangazi.
Imechapishwa Julai 26, 2014, saa 7:45 mchana
DHAMIRA ya Arsenal kutaka kumsajili Mario Balotelli inaonekana kufa , baada ya Mkurugenzi wa AC Milan, Adriano Galliani kudai mshambuliaji huyo mtukutu atabakia klabuni...

Sir
Alex Ferguson anatarajiwa kukutana na Meneja mpya wa Man United Louis
van Gaal wa Manchester United ambaye kwa sasa yupo kwenye Ziara huko
Washington, Marekani.Sir Alex, ambae alistaafu kutoka wadhifa wake wa
Miaka 26 kama Meneja Klabu hiyo Mei Mwaka Jana, ataruka kwenda huko
Marekani kushuhudia Man United ikicheza na Inter Milan hapo Jumatano na
kisha Real Madrid.Hii Leo Man United...

Changamoto ya Ugiriki: Claudio Ranieri anatarajia kuiongoza nchi hiyo katika fainali za mataifa ya Ulaya mwaka 2016
KOCHA wa zamani wa Chelsea, Claudio Ranieri ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya Taifa ya Ugiriki.
Ranieri
katika miaka kumi iliyopita amevuna zaidi ya paundi milioni 10,
akilipwa kama fidia ya kufukuzwa kazi, lakini Ugiriki umemteua kuwa
kocha...
Subscribe to:
Posts (Atom)