Tuesday, May 13, 2014

  KIUNGO wa Manchester City, Samir Nasri ameachwa katika kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Ufaransa kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil. Nasri alitarajia kuachwa na kocha Didier Deschamps baada ya Raphael Varane kukabidhiwa nafasi yake. Franck Ribery, Karim Benzema, Patrice Evra, Paul Pogba na Yohan Cabaye wote wamejumuishwa. Kikosi kizima...
CARLOS Tevez ameachwa kwenye kikosi cha awali cha kocha  wa Argentina,  Alejandro Sabella kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil. Mshambuliaji huyo wa  Juventus licha ya kuonesha kiwango kizuri katika ligi ya Seria A, bado hajamshawishi Sabella kuingizwa katika kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa kwenda nchini Afrika kusini. Franco Di Santo, Rodrigo Palacio...

waliotembelea blog