Azam
FC itakuwa mgeni wa Ruvu Shootings katika uwanja wa Mabatini wakijaribu
kuongeza tofauti ya pointi na Yanga ili kuendelea kushika usukani wa
#VPL. Itaweza kuondoka na ushindi dhidi ya timu iliyokamia kutofungwa
nyumbani...
David Silva dakika ya 51 na 53 kaifungia bao mbili Man City na kufanya bao kuwa 5-0 Kwenye Uwanja wa Nyumbani Etihad.Ushindi
huu wa City unawakalisha nafasi ya pili wakiwa wakiwa na pointi 55
pointi tano tu nyuma ya Vinara Chelsea wenye pointi 60 baada ya
kukomaliwa sare ya 1-1 na Burnley Nyumbani kwao Stamford Bridge leo.
Samir Nasri dakika ya 12 kipindi cha kwanza akipeta baada ya...