David Silva dakika ya 51 na 53 kaifungia bao mbili Man City na kufanya bao kuwa 5-0 Kwenye Uwanja wa Nyumbani Etihad.
Ushindi
huu wa City unawakalisha nafasi ya pili wakiwa wakiwa na pointi 55
pointi tano tu nyuma ya Vinara Chelsea wenye pointi 60 baada ya
kukomaliwa sare ya 1-1 na Burnley Nyumbani kwao Stamford Bridge leo.

Samir Nasri dakika ya 12 kipindi cha kwanza akipeta baada ya kupata bao.
Manchester
City walipata bao mapema la mkwaju wa penati dakika ya 2 na bao la pili
lilitiwa kimiani na Samir Nasri dakika ya 12 na Edin Dzeko kuishona bao
la tatu na kufanya 3-0 kipindi cha kwanza.
0 maoni:
Post a Comment