Tuesday, December 15, 2015

KAMATI ya Marefa ya UEFA imeteua Marefa 18 ambao watasimamia Mechi 51 za Fainali za Kombe la Mataifa ya Ulaya, EURO 2016, zitakazochezwa Nchi France Makani. Kama ilivyokuwa kwa EURO 2012 na Mechi za kufuzu Fainali za UEFA EURO 2016, Mechi 1 itachezwa na Refa akisaidiwa na Wasaidizi Wawili wa pembeni mwa Uwanja na Wawili kwenye Mstari wa nyuma ya Magoli. Wengi wa Marefa Wasaidizi...
Remy dakika ya 77 aliipatia Chelsea bao na kufanya 2-1 kwa kuunganisha mpira wa kichwa.Riyad Mahrez dakika ya 48 aliwachoma Chelsea bao la pili na kufanya 2-0.Vardy dakika ya 34Diego Costa kaanza kwa ChelseaRiyad Mahrez dakika ya 48VIKOSI: Leicester: Schmeichel; Simpson, Huth, Morgan (c), Fuchs; Mahrez, Kanté, Drinkwater, Albrighton; Ulloa, Vard Subs: Schwarzer, Wasilewski,...
Dani Alves, right, wears sunglasses on arrival ahead of Barca's bid to win the title for a third time in six years Autograph hunters ask for the signatures of Sergio Busquets, left and Thomas Vermaelen Brazil star Neymar (centre) wore dark sunglasses, and kept his headphones in as the players went through Manager Luis Enrique will be hoping to secure a fifth trophy of 2015 when his side...
Msaani maarufu wa bongofleva, Linex akifanya vitu vyake katika uwanja wa Mlandege mjini Iringa juzi kwenye tamasha la muziki (Mtikisiko) lililoandaliwa na redio Ebony FM ya mjini Iringa kwa udhamini wa kampuni ya simu za mkononi Tigo. Tamasha hilo hufanyika kila mwaka katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.Msaani maarufu wa Hip hop,Darasa akifanya vitu vyake katika uwanja wa Mlandege ...

waliotembelea blog