Monday, February 13, 2017

UEFA CHAMPIONS LIGI Raundi ya Mtoano ya Timu 16  Mechi zote kuanza Saa 4 Dakika 45 Usiku Mechi za Kwanza Jumanne 14 Februari 2017 Benfica v Borussia Dortmund Paris Saint Germain v Barcelona Jumatano 15 Februari 2017 Bayern Munich v Arsenal Real Madrid v Napoli Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL, inaanza Jumanne...
Antonio Conte amesema hapendi 'mzaha'wa Jose Mourinho baada ya Meneja huyo wa Manchester United kudai Chelsea ambao ni Vinara wa EPL, Ligi Kuu England, hawawezi kukamatika kileleni kwa sababu ni Timu 'inayojihami mno!'. Hivi sasa Chelsea wapo Pointi 10 mbele ya Timu ya Pili Tottenham baada Jana kutoka 1-1 na Burnley huko Turf Moor. Mourinho, ambae anasifika kwa kuchota akili za Mameneja...
Chelsea Leo wameikosa nafasi ya kwenda Pointi 12 mbele baada ya kutoka Sare na Burnley huko Turf Moor. Chelsea sasa wako Pointi 10 mbele ya Timu ya Pili Tottenham lakini Jumatatu Usiku Manchester City wanaweza kutwaa Nafasi ya Pili na pengo lao na Chelsea kuwa Pointi 8 ikiwa wataifunga Bournemouth Ugenini. Hii Leo Chelsea walitangulia kufunga Dakika ya 7 kwa Bao la Pedro lakini Robbie...

waliotembelea blog