Uongozi wa Yanga umeweka bayana kwamba hauna mpango wa kumzuia mchezaji yeyote kuondoka iwapo atahitaji kuihama klabu hiyo
Mabingwa watetezi Ligi Kuu Bara, Yanga SC ambao ndio wanaoongoza
kwenye msimamo wa ligi msimu huu kwa tofauti ya pointi moja dhidi ya
mahasimu wao Simba huku kila timu ikibakiwa na mechi tano kumalizika,
wamtamka kuwa mchezaji yeyote anayetaka...