Monday, June 22, 2015

Afisa Mtendaji Mkuu wa  EAG Group Imani Kajula Akimwelezea Jambo Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva (Aliyekaa) Wakati wa Uzinduzi wa Tovuti ya Club Hiyo Anayeshuhudia ni Makamu wa Rais wa Club ya Simba Geofrey Nyange ‘Kaburu Simba Sports Club leo hiiimezindua tovuti yake Ili kukuza  mawasiliano  na  wadau wake mbalimbali  hususani;...
. Baraka Da prince ambaye ni mshindi wa tuzo ya msanii bora chipukizi mwaka 2015 kwenye tuzo za KILI, time hii anakuja na collabo atakazo washirikisha wasanii wa Afrika Mashariki, Nigeria na Ghana. Akizungumza na millardayo.com amesema ‘Kuna nyimbo nyingi zinakuja ambazo nimewashiriki kama Jose Chameleone, Jaguar na msanii kutoka Nigeria lakini siko tayari kumtaja jina lake ila mashabiki...
Droo za Mechi za Raundi ya Kwanza ya Mtoano na ile ya Pili za EUROPA LIGI kwa ajili ya Msimu mpya wa 2015/15 zimefanyika Leo huko Nyon, Uswisi na kuhusisha Klabu 102 ambazo ni nyingi kupita wakati wowote. West Ham ya England, ambayo ilimaliza Ligi Kuu England ikiwa Nafasi ya 12 na kuingizwa EUROPA LIGI kwa sababu ya kuongoza Tebo ya Uchezaji wa Haki, itacheza na FC Lusitans ya Andorra...
Droo za Raundi za Kwanza na za Pili za Mtoano za UEFA CHAMPIONS LIGI kwa Msimu mpya wa 2015/16 imefanyika Mchana huu huko Nyon, Uswisi. Klabu 38 zimehusika na Droo hiyo. DROO KAMILI: Raundi ya Kwanza ya Mtoano: Lincoln FC (Gibraltar) v FC Santa Coloma (Andorra) Crusaders FC (Northern Ireland) v FC Levadia Tallinn (Estonia) FC Pyunik (Armenia) v SS Folgore (San Marino) B36 Tórshavn (Faroe Islands)...
Simba SC imeingia mkataba na kocha Dylar Kerr Raua wa England kuifundisha klabu hiyo kongwe nchini ambayo ilimaliza Ligi ikiwa katika nafasi ya tatu. Kerr atasaini mkataba wa mwaka mmoja kuinoa Simba mkataba ambao una kipengele cha kuongeza mwaka mwingine kama atafanya vizuri. Kocha huyo anakuja Simba SC akitokea klabu ya Ligi Kuu ya Vietnam, Hai Phong aliyojiunga nayo Januari...
Kipa wa Chelsea Petr Cech anakaribia kuhamia Arsenal kwa mujibu wa ripoti za kuaminika huko England. Cech, mwenye Miaka 33, ameshaafikiana maslahi yake binafsi na Arsenal na kilichobaki ni kusawazisha mvutano kati ya Chelsea na Arsenal kuhusu Ada ya Uhamisho huku pande hizo mbili zikikubaliana kuendelea na mazungumzo. Cech amebakiza Mwaka mmoja katika Mkataba wake na Chelsea na ameruhusiwa...
England, wakicheza Mechi yao ya pili ya Fainali za Mashindano ya Mataifa ya Ulaya kwa Vijana chini ya Miaka 21, EURO U-21, Leo wameifunga Sweden 1-0 huko Ander Stadium, Olomouc Nchini Czech Republic.  Katika Mechi yao ya kwanza ya Kundi B England walifungwa 1-0 na Portugal lakini Leo mkombozi wao alikuwa Jesse Lingard, Chipukizi wa Manchester United, alieingizwa Dakika ya 55 kumbadili...
Kipa wa Manchester United David de Gea amewaambia wachezaji wenzake katika kilabu hiyo ya Old Trafford kwamba anataka kuihama kilabu hiyo na kujiunga na Real Madrid.Kulingana na gazeti la mail online,hatma ya kipa huyo katika klabu ya Manchester United haijulikani huku Madrid ikiwa na hamu ya kumsajili kipa huyo aliyeisaidia manchester United kupanda hadi nafasi ya nne.Raia huyo wa Uhispania...
Arsenal itapuuzilia mbali hamu ya Manchester City ya kutaka kumsajili kiungo wake wa kati Jack Wilshere kwa kumpatia mkataba mwengine wa miaka mitano pamoja na kuongeza mshahara wake mara mbili ya anavyopata.Kulingana na gazeti la the Mirror, Manchester City ambayo ilishindwa kutetea taji lake la ligi msimu uliopita ina hamu ya kuimarisha safu yake ya kati kwa kununua wachezaji wa Uingereza...
Hii Ndio Ratiba ya Bongo Star Search 2015 ... Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es Salaam. ‪#‎JukwaaNiLako‬ ‪#‎KuwaOriginal‬ Save The Date!   Share artwork hii kwenye page yako ukiambatanisha na hashtag hii #JukwaaNiLako Mwenye LIKES nyingi zaidi atajishindia zawadi mbalimbali kutoka Bongo Star Search. Mshindi atatangazwa siku ya Jumatano. ‪#‎BSS2015‬ Hii ndio ratiba ya Bongo Star...
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake cha leo pamoja na mambo mengine kilipitia mwenendo wa timu ya Taifa (Taifa Stars) ikiwa ni pamoja na kuhudhuria mchezo kati ya Tanzania na Uganda, kama sehemu ya tathmini ya mwenendo wa timu. Kamati ya Utendaji kwa kauli moja imeamua yafuatayo; 1. Ajira ya Kocha Mkuu Maart Nooij inasitishwa mara moja kuanzia...

waliotembelea blog