
SERIKALI
iko katika mazungumzo na nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)
na Burundi ili kushirikiana kwa baadhi ya maeneo, hasa kutokana na
ukweli kuwa baadhi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
(EAC), Rwanda, Kenya na Uganda, zimeonesha mwelekeo wa kujitenga.
Waziri
wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, alisema hayo jana
alipokuwa akitii mwito...