JoseJose MourinhoMENEJA wa Chelsea Jose Mourinho amekanusha kwamba kuna maasi ya Wachezaji ndani ya Timu yao. Mapema Leo Kiungo wa Chelsea Cesc Fabregas aliibuka na kukana ripoti kuwa yeye ndio ameandaa maasi kwenye Timu. Chelsea,
ambao ni Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu England, hivi sasa wamekumbwa na
matokeo mabovu baada ya kufungwa Mechi 6 kati ya 11 za Ligi Msimu huu. Akiongea...
Tuesday, November 3, 2015


Mshambuliaji
wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ Estha Chaburuma
‘Lunyamila’ ataagwa rasmi katika mchezo wa kirafiki kati ya timu ya
Taifa ya Tanzania ya Wanawake ‘Twiga Stars’ dhidi ya timu ya taifa ya
wanawake ya Malawi utakaochezwa siku ya jumamosi katika uwanja wa Azam
Complex Chamazi jijini Dar es salaam. Chaburuma amekua ni miongoni
mwa wachezaji waanzilishi...


Rooney akishangilia bao lake la pekee baada ya kuipa bao Man United katika dakika ya 79 kipindi cha pili.Ushindi
huu umewapaisha kileleni Man United kwa kupata pointi 7, anayefuata ni
PSV ana pointi 6, Wolfsburg nae 6 na wa mkiani ni SCKA anazo pointi 4
katika grupu lao BRooneyJesse Bastian akiendesha mpira Meneja wa Man United Van Gaal Mlinda mlango wa Man United De GeaMartial...


Nacho dakika ya 35 kafunga baoChupuchupu!1-0 Real wanaongoza kipindi cha kwanza...likifungwa na Nacho dakika ya 35VIKOSI:Real Madrid: Navas, Danilo, Sergio Ramos, Varane, Marcelo, Modric, Casemiro, Kroos, Jese, Ronaldo, Isco. Akiba: Casilla, Pepe, Nacho, Rodriguez, Kovacic, Lucas, Cheryshev. PSG: Trapp, Aurier, Thiago Silva, Luiz, Maxwell, Verratti, Thiago Motta, Matuidi, Di Maria, Ibrahimovic,...


Jana
CAF imetoa 10 Bora ya Wagombea wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa
Afrika kwa Makundi yake Mawili na Straika mahiri wa Tanzania, Mbwana
Samatta, yumo. Samatta, ambae huchezea Klabu ya Congo DR TP Mazembe
ambayo ameifikisha Fainali ya CAF CHAMPIONS LIGI, yumo kwenye 10 Bora ya
Wachezaji wanaogombea Tuzo hii kwa Wachezaji wanaocheza ndani Afrika. Samatta
ndie anaongoza Listi ya Wafungaji...
Subscribe to:
Posts (Atom)