Wednesday, January 8, 2014

Leo zipo Mechi nyingine kadhaa za Kwanza za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ikiwa pamoja na ile ya Mabingwa wa Spain Barcelona wakiwa kwao Nou Camp kucheza na Getafe huku Duniani ikitarajia kumuona Nyota Lionel Messi akirejea dimbani baada kuwa Majeruhi kwa Miezi miwili.   Valencia jana walifanikiwa kutoka Sare ya Bao 1-1 na Mabingwa Watetezi wa Copa del Rey Atletico Madrid katika Mechi...
  Dakika za nyongeza za kipindi cha kwanza 45+2 Giggs anafanya makosa anajifunga bao, Sunderland wanaenda mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Manchester United. Kipindi cha pili dakika ya 52 Nemanja Vidic anawasawazishia bao United kwa kufanya 1-1 baada ya kona kupigwa na Vidic kujituma kwa kufunga bao la kichwa. Dakika ya 65 United wanafungwa goli la pili kwa mkwaju wa...
 HONGERA: Wakili wa CHADEMA Tundu Lisu (kulia) akilazimika kumpongeza aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe baada ya Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, John Mkamwa, kuridhia zuio la Zitto asijadiliwe na ngazi yoyote ya maamuzi ya Chadema, hadi kesi ya msingi aliyofungua dhidi ya chama hicho itakapomalizika. Jaji huyo amekubali kesi ya msingi iungurume...

waliotembelea blog