
Sir
Alex Ferguson atarudi tena Old Trafford kwenye Benchi wakati wa Mechi
ya Kumtukuza Kiungo wa Manchester United Michael Carrick kwa Utumishi
Ulitukuka wa muda mrefu Klabuni hapo. Ferguson, aliestaafu Umeneja
Mwaka 2013 baada ya kuitumikia Man United kwa Miaka 27, ataongoza moja
ya Timu katika Mechi hiyo Maalum. Timu atakayoongoza Sir Alex
Ferguson itaitwa Manchester United 2008 XI na...