Jumatano Mei 13
Real Madrid CF vs Juventus FC [1-...
Tuesday, May 12, 2015


Sasa
ni rasmi, mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amemwaga wino kuichezea
klabu ya Free State Stars ya Ligi Kuu Afrika Kusini kwa miaka minne .Ngasa ameripotiwa kufurahia mkataba huo mnono na kuanza kwake kwa maisha mapya baada ya kucheza nyumbani kwa miaka kadhaa.
Ngasa ameonekana katika mitandao kadhaa akiwa na kocha wa timu hiyo baada ya kusaini mkataba.“Nataka kutumia fursa hii kuitangaza...


KEPTENI
wa Liverpool Steven Gerrard Jumamosi ataichezea Klabu yake kwa mara ya
mwisho Uwanjani kwao Anfield na Tiketi za Mechi hiyo zimefika Bei ya
Shilingi Milioni 4, 090, 680/=. Jumamosi Liverpool watacheza Mechi yao ya mwisho ya Ligi Kuu England Msimu huu Uwanjani kwao Anfield dhidi ya Crystal Palace.
Hii
Leo mtandao unaouza Tiketi kwa ajili ya Mechi hiyo, www.ticketbis.net
umeanika...


Kwa raha zao Barca!2-1Neymay alifunga bao mbili kipindi cha kwanza!Wachezaji wa Barca wakipongezaNeymar akishangilia kwa raha zake!Neymar akishangilia moja ya bao zake mbili za kipindi cha kwanza dakika ya 15 na 29.Medhi
Benatia dakika ya 7 kipindi cha kwanza anaipatia Bayern Munich bao la
kuongoza. Dakika ya 15 Neymar alisawazisha bao baada ya kupewa pasi na
Luis Suarez.Dakika ya 29 tena Neymar...


Wachezaji watatakiwa kuonesha pasi zao halisi za kusafiria (passport) kabla ya mechi ili kuhakikisha kama wanastahili.
FIFA imerekebisha sheria zake, ikiwa pamoja na kufuta
maamuzi ya kurudia mechi nzima ya kufuzu Kombe la Dunia ambayo
ilivunjika/iliishia katikati (haikufika dakika 90), kwa sasa mechi
iliyovunjika itaanzia katika...



Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa
kuamkia leo May 12, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku
tatu nchini Algeria.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond
Mushi alipowasili kutoka Algeria katika uwanja wa ndege wa...


.jpg)
T
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo leo asubuhi
nyumbani kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere nyumbani kwake Msasani
jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye John Nyerere kilichotokea
hivi karibuni.Aliyesimama pembeni ya Rais ni mdogo wa marehemu
Makongoro Nyerere.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya marehemu John...
Subscribe to:
Posts (Atom)