Wednesday, September 10, 2014

Arsenal v Crystal Palace Burnley v Chelsea Leicester City v Everton Liverpool v Southampton Manchester United v Swansea City Newcastle United v Manchester City Queens Park Rangers v Hull City Stoke City v Aston Villa West Bromwich Albion v Sunderland West Ham United v Tottenham Hotspur 23 August 2014 Aston Villa v Newcastle United Chelsea v Leicester City Crystal Palace v West Ham United Everton v Arsenal Hull City v Stoke City Manchester City v Liverpool Southampton v West Bromwich Albion...
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam YANGA SC ina mpango wa kuweka kambi mjini Bagamoyo mkoani Pwani kujiandaa na mechi ya ngao ya Jamii kuashiria kuzinduliwa kwa msimu mpya wa ligi kuu soka Tanzania bara itayopigwa jumapili (septemba 14 mwaka huu) uwanja wa Taifa Dar es salaam. Kiingilio cha chini katika mechi hiyo inayowakutanisha mabingwa na washindi wa pili wa msimu uliopita kitakuwa shilingi...
Arsenal, ambao Msimu huu wamejizatiti kuwania Mataji hasa baada ya Msimu uliopita kubeba FA CUP likiwa Kombe lao la kwanza tangu 2005, wanakabiliwa na Mechi 7 mfululizo zijazo ambazo zitaamua Msimu huu kwao ni mbivu au mbichi. Mechi hizo 7 ni za Ligi Kuu England, Kundi D la UEFA CHAMPIONS LIGI na ile ya Mtoano ya Raundi ya Tatu ya Capital One Cup. Kwa kuanzia, Jumamosi Septemba 13, Arsenal...

waliotembelea blog