Friday, February 21, 2014

Nchini Tanzania michuano ya kusaka ubingwa wa ligi kuu ya nchi hiyo inaingia mzunguko wa 19 jumamosi hii kwa mechi tano, zitakazochezwa katika miji ya Dar es Salaam, Bukoba, Morogoro, Tanga na Arusha. Mabingwa watetezi Yanga watakuwa nyumbani uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam kumenyana na Ruvu Shooting...
  David Moyes alimsaini Juan Mata kutoka akiwa na matumaini na mategemeo makubwa. Juan Mata alionekana kama mtu atakayekuja kuleta mageuzi ya kuisadia timu hiyo kuingia hata kwenye Top 4. Hata hivyo hali imekuwa tofauti na matarajio, Manchester United ikishinda mchezo mmoja tu kati ya minne Mata aliyocheza. Moja ya vitu vinavyoachangia matatizo haya ni mbinu za kiufundi, hivyo je...
Mechi ya pili ya raundi ya kwanza kuwania Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC) kati ya Tanzania (Twiga Stars) na Zambia (Shepolopolo) sasa itachezwa Februari 28 mwaka huu Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam. Twiga Stars tayari ipo kambini kujiandaa kwa mechi hiyo itakayochezwa kuanzia saa 10 kamili jioni. Twiga Stars chini ya Kocha Rogasian Kaijage inafanya...
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaingia raundi ya 19 kesho (Februari 22 mwaka huu) kwa mechi tano zitakazochezwa katika miji ya Dar es Salaam, Bukoba, Morogoro, Tanga na Arusha. Yanga itakuwa mgeni wa Ruvu Shooting ya mkoani Pwani katika mechi itakayofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Nayo Kagera Sugar inaikaribisha Rhino Rangers ya Tabora katika...
  Arsenal mbele Mesut Ozil bado hajapata nafuu kutoka tamaa ya adhabu miss ya yake dhidi ya Bayern Munich, kwa mujibu wa meneja Arsenal Wenger. Ozil, 25, klabu rekodi ya kusainiwa, aliona yake doa-kick kuokolewa katika midweek Ligi ya Mabingwa hasara na kuomba radhi kwa kushindwa   kwa mashabiki katika Picha. Wenger alisema: "Je, yule alright sasa Hakika si kwa sababu...
Wanawake Mkuu wa Uingereza kushinda ya Olimpiki curling ya shaba, na jiwe ya mwisho ya mechi yao dhidi ya Uswisi. timu ya Hawa MUIRHEAD, Vicki Adams, Claire Hamilton na Anna Sloan chuma ushindi 6-5 kushinda kwanza ya Olimpiki medali ya curling Uingereza tangu Rhona Martin ya dhahabu mwaka 2002. GB ya watu uso Canada kwa dhahabu saa 13:30 GMT siku ya Ijumaa. Medali zao uhakika hufanya...
Sat 22 Feb 2014 - Premier League Chelsea v Everton 12:45 Arsenal v Sunderland 15:00 Cardiff v Hull 15:00 Man City v Stoke 15:00 West Brom v Fulham 15:00 West Ham v Southampton 15:00 Crystal Palace v Man Utd 17:30 Sun 23 Feb 2014 - Premier League Liverpool v Swansea 13:30 Newcastle v Aston Villa 13:30 Norwich v Tottenham 16:00 Sat...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda atia saini mswada wa sheria dhidi ya picha za ngono. Ikiwa unaishi Uganda na unapenda kuvaa nguo fupi, zinazokubana bana au zinazoonyesha sehemu za mwili ambazo zaweza kuwafanya watu wa jinsia nyingine kusisimkwa na kutamani kushiriki ngono nawe,...

waliotembelea blog