Thursday, February 12, 2015

Mpaka dakika 90 zinamalizika United 3 Burnley 1Smalling akishangilia.. Van Persie alifunga bao la tatu kwa mkwaju wa penati baada ya Di Maria kuangushwa ndani ya boksi.Mchezaji wa Manchester United Chris Smalling aliingia kipindi cha kwanza kuchukua nafasi ya Phil Jones aliyepata majeraha na ndani ya dakika chache aliifungia bao la kwanza Man United katika dakika ya 6 na dakika ya...
,  1-0Willium (kushoto) akiomba baada ya kuipa bao la Ushindi Chelsea katika dakika ya 89 ya Mchezo kati yao na Everton.Willian aliipachikia Chelsea bao katika dakika za lala salama dakika ya 89 na kumaliza Mchezo dakika 90 Chelsea wakiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Everton. Ushindi huu unaipaisha zaidi Chelsea Kileleni wakiwa na pointi 59.Patashika!!Cuadrado alianza kipindi...

waliotembelea blog