Thursday, September 18, 2014

Wayne RooneySTAA wa Manchester United Wayne Rooney amemmwagia sifa Meneja wake wa zamani Sir Alex Ferguson kwa kumwita ni ‘Mtu wa hodari’. Rooney, amabe aliripotiwa kugombana na Sir Alex Ferguson Mwaka mmoja uliopita hasa baada ya kutua kwa Robin van Persie Klabuni hapo, sasa ametimiza Miaka 10 akiwa na Man United na amesheherekea kwa kumpongeza Ferguson kwa kumpa nafasi kucheza Old Trafford...
Warembo 30 wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 jana walitembelea hifadhi ya taifa ya Mikumi mkoani Morogoro kujionea vivutio mbalimbali vya utalii viliovyopo katika hifadhi hiyo ambapo waliweza kujionea wanyama wa aina mbalimbali wakiwepo, Tembo, Twiga, Swala, Viboko na Simba....
Klaas Jan Huntelaar akifanya yake kusawazisha baoWachezaji wa Chelsea wakiwa hoi baada ya Schalke 04 kusawazisha bao kupitia kwa Klaas Jan Huntelaar katika kipindi cha pili dakika ya 62. Cesc Fàbregas akiachia shuti kali na kufunga1-0Dakika ya 11 Cesc Fàbregas anaipachikia bao la kwanza Chelsea dhidi ya Schalke 04. Bao hilo lilipatikana baada ya ushirikiano safi kutoka kwa Eden Hazard.Cesc...
AS ROMA wakiwa kwao kucheza na CSKA Moscow kwenye hatua ya makundi Uefa Champions Ligi ndio walianza kuonesha nia na kiu kwa kuanza kupachika mabao, Wakiifunga bao 4-0 kipindi cha kwanza timu ya CSKA Moscow.Bao la kwanza lilifungwa na Juan Manuel Iturbe dakika ya 6, Bao la pili lilifungwa na mchezaji wa zamani wa Arsenal Gervinho katika dakika ya 10, Maicon akapachika bao la tatu dakika...
Gerard Piqué akishangilia bao lake kipindi cha kwanza dakika ya 28. bao lililodumu mpaka dakika 90 kumalizika na Barcelona kujichukulia alama 3 muhimu wakiwa nyumbani kwao kwenye mchezo wa Uefa Champions League hatua ya makundi.Lionel Messi akifukuziwa na Bonge la msitu...Dakika ya 28 Gerard Piqué aliifungia bao la kichwa Barcelona na kuitanguliza 1-0 dhidi ya timu ya APOEL Nicosia....
Kikosi cha timu ya Kipanga kilichotoa upinzani na Timu ya Miembeni kuilazimisha kutoka sare ya bao 1--1, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar. Ikiwa imepanda daraja msimu huo baada ya kudima kwa muda katika daraja la kwanza na hatimai kufanikiwa kurudi ligi kuu na kutowa upinzani kwa timu ya miembeni katika uwanja wa amaan. Kikosi cha timu ya Miembeni kilicholazimisha sare na...

waliotembelea blog