KUNDI A
Atletico Madrid
Juventus
Olympiakos
Malmo
KUNDI B
Real Madrid
Basle
LIVERPOOL
Ludogorets
KUNDI C
Benfica
Zenit St Petersburg
Bayer Leverkusen
Monaco
KUNDI D
ARSENAL
Borussia Dortmund
Galatasaray
Anderlecht
KUNDI E
Bayern Munich
MANCHESTER CITY
CSKA Moscow
Roma
KUNDI...
Friday, August 29, 2014



UEFA Leo imempa Tuzo yao ya Mchezaji
Bora wa Mwaka Cristiano Ronaldo baada ya kuwabwaga kwenye Kura Kipa wa
Mabingwa wa Dunia Germany, Manuel Neuer na Mchezaji mwenzake wa Klabu ya
Bayern Munich anaechezea Holland, Arjen Robben.Ronaldo, Miaka 29,
alifunga Bao 17 katika Mechi 11 za Ulaya wakati Real Madrid inaelekea
kutwaa Taji lao la 10 la Ulaya walipobeba Kombe la UEFA CHAMPIONS LIGI...


DROO
ya Makundi ya UEFA CHAMPIONS LIGI imefanyika leo hii usiku huko Monaco na
Timu 4 za England, Manchester City, Liverpool, Chelsea,na Arsenal zimepata timu za kucheza nazo.
Taswira huko MonacoRonaldo Mchezaji Bora 2014 Ulaya.Ronaldo akibusu tuzo yake yake baada ya kuchaguliwa mchezaji boraRonaldo amewabwaga chini wachezaji wa Bayern Munich kipa Manuel Neuer na Arjen RobbenMchezaji
...


KEPTENI wa Manchester United Wayne Rooney ndie ameteuliwa Nahodha mpya wa England na Meneja wa Timu Roy Hodgson. Rooney,
mwenye Miaka 28, anachukua wadhifa huo kutoka kwa Steven Gerrard wa
Liverpool ambae amestaafu kuichezea England mara baada ya Nchi hiyo
kutolewa hatua ya Makundi ya Fainali za Kombe la Dunia Mwezi Juni huko
Brazil.
Rooney
ameichezea England mara 95 na kufunga Bao 40...



Emanuel Okwi wa Uganda ambaye msimu uliopita alikuwa anaichezea Yanga,
akiwa na jezi namba 25 aliyokabidhiwa mara baada ya kusaini tena Simba
baada ya kukachwa na Yanga katika usajili wa Ligi Kuu ya Vodacom
Tanzania Bara inayotarajia kuanza mwezi ujao.
Yametimia, hatimaye Emmanuel Okwi amerejea katika kikosi chake cha zamani cha Simba. Okwi rasmi anasaini leo kujiunga na Simba...
Subscribe to:
Posts (Atom)