
Wananchi
wa kijii cha Rukoma kata ya Rukoma wakiwa wamekusanyika wakimsilikiza
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa
hadhara jioni ya leo Bukoba vijijini. Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Kinana yuko katika ziara ya kikazi katika mikoa ya Kagera , Geita
na Mwanza akikagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kukagua
utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya...