Monday, December 16, 2013

MUONEKANO WA BASI LA BUKOBA EXPRESS T 315 BLC BAADA YA KUANGUKA ,BASI LILIKUWA LINATOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA BUKOBA MUDA MCHACHE BAADA YA KUANZA SAFARI ALFAJIRI YA LEO KUTOKA LILIPOKUWA LIMELALA,TAYAR KUANZA SAFARI YA KUELEKEA BUKOBA,WATU WOTE WAMENUSURIKA KIFO NA WENGINE KADHAA WAMEPATA MAJERAHA !!...
Sanamu hii ya Mandela iko mikono wazi ishara ya Mandela kukumbatia watu wa Afrika Kusini Sanamu kubwa zaidi duniani ya Nelson Mandela imezinduliwa katika mji mkuu wa Afrika kusini Pretoria siku moja baada ya rais huyo wa zamani kuzikwa. ...
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza MABINA ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kiseke jijini Mwanza. Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi wananchi hao na kesi ikawa mahakamani na leo mchana Mabina bila kibali cha mahakama alikuwa anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wananchi wakaenda kumhoji iweje anapanda miti...
After school bash!! tamasha kubwa la kila mwaka ,linalokuwa  linawaunganisha wanafunzi  Town baada ya shule zao  kufungwa hivyo kupata fursa ya  kujumuika  pamoja, pia  kuwakutanisha na wasanii  wanaowapenda ,limemalizika  usiku huu..WCB president na team yangu yoote tulikuwepo  na tukawapa kile walichokikosa kwa mda  mlefu...
Mazishi ya Nelson Mandela yanaendelea katika kijiji cha Qunu katika mkoa wa Eastern Cape na kumaliza wiki moja ya maombolezi ya shujaa wa Afrika mwendazake Nelson Mandela.   Takriban watu 4,500 wakiwemo wageni wa kimataifa wanahudhuria mazishi hayo ambayo ni ya mchanganyiko wa tamaduni za kale na mambo ya kisasa.   Familia ya Mandela ilikesha wakijiandaa kwa...

waliotembelea blog