Wednesday, May 7, 2014

Louis van Gaal amefikia makubaliano kuwa Meneja mpya wa Manchester United kwa mujibu wa duru za habari za ndani huko Egland. Hata hivyo, Klabu ya Man United imedokeza kuwa haitatangaza habari yeyote kuhusu Meneja mpya Wiki hii. Van Gaal ndie Kocha wa Timu ya Taifa ya Netherlands ambayo Mwezi Juni itakuwa huko Brazil kucheza Fainali za Kombe la Dunia. Habari hizo kuhusu Mdachi huyo kukubali...

waliotembelea blog